Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi