Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liwalo na liwe
cfb6f0a508a845132a27f2938b5a2b8a.jpg
 
Mkuu tusaidiane basi kutafuta izo odds 3 maana Mimi yani mda wa kutulia sikuizi nakosa kabisa
hahaha
goal scored by kicking huko 1xbet ndio habari ya mujini. huwezi kosa odds tatu hata usipo fanya uchambuzi ni kuangalia zile timu zenye uwezo wa kutoa 2+ basi unaweka mzigo
 
hahaha
goal scored by kicking huko 1xbet ndio habari ya mujini. huwezi kosa odds tatu hata usipo fanya uchambuzi ni kuangalia zile timu zenye uwezo wa kutoa 2+ basi unaweka mzigo
Hiyo kwmpuni ya 1×bet pesa unadeposite vpi wakuu,mm nimeona dollar's n.k ila Tshs. Sioni kama wanakubali,nimeshindwa kumalzia kujisajili
 
hahaha
goal scored by kicking huko 1xbet ndio habari ya mujini. huwezi kosa odds tatu hata usipo fanya uchambuzi ni kuangalia zile timu zenye uwezo wa kutoa 2+ basi unaweka mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee nmecheka sana

Yan Jana man u ndo alikua
Tu ***** kwang na hyo option
 
Asian handcap
Napoli 0

Home Win
Zenit St. Petersberg

Club Guarani vs junior
Club Guarani Win

Good luck
 
Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani

Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10

Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo

Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)

Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha

ODDS
3 - Each Day

Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000

Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000

Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000

Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000

Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000

Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000

Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000

Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000

Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000

Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000

Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.

Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Bonge la idea hili safi sana odds 3 sio kitu kigumu sana hasa kwa option zilivo kibao 1xbet
 
HABAR ZA MCHANA WAKUU

Zifuatazo ni timu za kuepuka kuzipa direct win au over 2.5 kwa siku ya Leo

1. Arsenal
Huyu hafai maana Tayar keshawin 3-0 away
Pia jumapili anagame ngumu na Man city

2. Ac Milan
Huyu nae keshawin 3-0 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Roma alafu akiwa ugenini

3.Real sociadad
Uyu alitoa sare ya 2-2 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Valencia

Ukzingatia Redbull Salzburg ndo timu inayoongoza kwa cleansheet hivi sasa.
Hyo game inawza kua na magoli machache sn

4. Marseille
Uyu nae first leg alishinda 3-0
Jumapili ana game ngumu sana na PSG

5. Athletico Madrid
Uyu alishashinda 4:1 away

Pia jumapili anagame ngumu akicheza away kwa sevilla.

6. Celtic
Uyu alishashinda 1:0 home
Leo yuko away na timu imara sana home ground zenit st.peters

Pia ana game ngumu akicheza away na Aberdeen (nafas ya 3)

7.Atalanta
Uyu nae anamfurulizo wa game ngumu tatu mbele yake,

Vs juve(ligi), vs juve(coppa Italia), vs sampdoria (ligi)

Nna imani atalanta lazima atapambana na asifungwe.

Na ikitokea ameshinda basi utakua ni ushindi mwembamba sn.

Ila Hyo game nnahisi inawz kua na magoli machache pia.

Maana anaangalia zaid moto ulio mbele yake ni zaid ya moto huu utakao waka kwa Leo.

Ni Hayo tu

****MAPAMBANO YANAENDELEA****
Atalanta vs dortmond
Draw 100%

Na mimi nimeiona hiyo tangu asubuhi.
 
Daah naonaa zinabadilikaa sanaa sanaa yanii au huwa mnaangalia vigezo gani??
binafsi hiyo ndio best option kwangu namtafuna muhindi kupitia kona

vigezo vyangu huwa naangalia style ya uchezaji wa timu husika, aina ya mechi yani ina umuhimu gani kwa mechi husika pia huwa naangalia weakness na strength ya timu husika
 
Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani

Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10

Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo

Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)

Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha

ODDS
3 - Each Day

Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000

Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000

Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000

Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000

Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000

Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000

Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000

Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000

Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000

Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000

Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.

Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Idea yako ni nzuri, ila kama unataka ufankiwe angalau kwa 70% zama INPLAY, tofauti na hapo utaishia siku ya 3
 
Hiyo kwmpuni ya 1×bet pesa unadeposite vpi wakuu,mm nimeona dollar's n.k ila Tshs. Sioni kama wanakubali,nimeshindwa kumalzia kujisajili
ipo bana kwa njia ya tsh we kamilisha usajili kwa njia ya e-mail na kisha utaona sehem ya kuweka kwa m pesa eatelimane na tigopesa
 
Yan huko 1xbet n mambo n hvi
Ukidepost sms ya mpesa
Ikirud nawao wanarud na yao had raha
cb844e481edac929901fa0df5be832af.jpg
 
Back
Top Bottom