Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni Siku ya kupiga PESA Kule Europa

Mechi zote zinaeleweka

Ni kutulia na kusuka mikeka makini zaidi.

Hasa kwa kubet option unique km corner,foul,offside,shots on target, throwns, sub, medical team, goal kick, n.k

Bila kusahau makokoro mazito mazito ya buku buku kama matatu hv yenye odds 900+ kwa ajili ya kumtest imani muhindi.

NB:
Msisahau kubakisha akiba kwa ajili ya plan B (in play bet)

Mkuu naomba leo ulete mapema nijaribu kukufuata
 
Leo ni Siku ya kupiga PESA Kule Europa

Mechi zote zinaeleweka

Ni kutulia na kusuka mikeka makini zaidi.

Hasa kwa kubet option unique km corner,foul,offside,shots on target, throwns, sub, medical team, goal kick, n.k

Bila kusahau makokoro mazito mazito ya buku buku kama matatu hv yenye odds 900+ kwa ajili ya kumtest imani muhindi.

NB:
Msisahau kubakisha akiba kwa ajili ya plan B (in play bet)
Nitaomba mikeka yako
 
Mbona 1xbet kama wanatoa pesa za bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
f334fbfc0bde7ef99730b7a363291497.jpg
 
Salama Wadau! Respect to ALL,
Hii week naangukia pua saana kama si team 1 basi ni tatu zinankosesha mpunga, wenzangu mnatusua ama upepo mbaya kote.!?
upload_2018-2-22_9-49-21.png

upload_2018-2-22_9-51-28.png

upload_2018-2-22_9-53-20.png
 
jamani naombeni msaada...nilideposit pesa mcheza toka juzi juma 3 lakini mpaka saivi haijaingia na sms nilishaipata sasa kila nikiwapigia wanasema inashulikiwa naleo nisiku ya 3 sioni chochote
 
upload_2018-2-22_10-31-56.png
upload_2018-2-22_10-32-32.png


bakisha hela kwa ajili ya inplay ni muhimu ndo mana napenda kuweka match ambazo mda unakaribiana coz huwa inatokea timu zingine zinaelekea kutiki halaf mmoja tu kwenye mkeka anaelekea kuzingua so unamwendea inplay unambetia kinyume na ulivomuwekea kwenye mkeka. husaidia kubuckup stake kama akizingua kwenye mkeka wa kawaida.
 
Back
Top Bottom