DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Regular time> scores most halfOption ya highest scoring half naipata wapi...nataka nimpe Athletic
Regular time> scores most halfOption ya highest scoring half naipata wapi...nataka nimpe Athletic
Usijali baby...tutabet pamojaBby cna ham Yan kanimaliza
Leo n sku ya 3 nakamuliwa
Kama ng'ombe Kwa
Sasa natembea na nyota yako
Kuanzia kesho usnichoke tu
Usijali baby...tutabet pamoja
Ningekuwa dem wake nisingehangaika hapa...ningekuwa nakula tu hela zako unazoliwaKweli tena mi nahisi we ni dem wake kanji
Sawa bby njoo tulale tuUsijali baby...tutabet pamoja
Sijaiona hata coz nilikuw kibaruani nimerud nkaanza kupekua kuanzia nyuma sijaionaHapana we ndo huniamini..naweka mbona mikeka yangu huku
Pole sana,Me nadhani kulima ni kugumu kuliko kubet...nilitumia 6m kulima kitunguu nikapata gunia 55 na jamaa akafunga mipaka...so bei ikawa ya hasara zaidi....so bora tubet tu hata mahindi bei haipandi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We dem wa kanji unatumia sana akili kwenye kubet
Kwa kweli Mkuu...si haba na nikiliwa na Mhindi huwa nahesabu kama mtaji..kila biashara ina mtajiPole sana,
Komaa na betting
Jins Siku znavokwenda unazd kugain experience
Na unaongeza chance ya kupga pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huenda unakula nae kijanja au we ni house girl wa nabii tito nn?Ningekuwa dem wake nisingehangaika hapa...ningekuwa nakula tu hela zako unazoliwa
Washenzi sana hao, niliwaomba kona 5 HT, naona wameniharibia kazi nzuri iliyofanywa ktk mechi ya Marseille na Salzburg.... Bora hata ningemuomba Arsenal hizo konaBaada ya Atalanta na BVB dakika 5 za kwanza kunipa 62k
Nahamia in play sasa
Mkeka wa inplay mkuuPole sana,
Komaa na betting
Jins Siku znavokwenda unazd kugain experience
Na unaongeza chance ya kupga pesa
Mechi za leo zilikuwa ngumu..so nimeogopa kumislead watu...nikaamua kubet for my own risk na pia nimepata miongozo humu ndani kama direct win n.k...Sijaiona hata coz nilikuw kibaruani nimerud nkaanza kupekua kuanzia nyuma sijaiona
Nimepasahau Premierbet[/QUOTE
Jinsi nilivyowapenda lakini huwezi kuamini mkuu sitaki hata kuwasikia
Safi sana.Kwa kweli Mkuu...si haba na nikiliwa na Mhindi huwa nahesabu kama mtaji..kila biashara ina mtaji
...hizi kazi za watu wanabana hadi unashindwa kuingiza hata mia..
So nimeamua kujiongeza....naiba muda wa muajiri natafuta kipato[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaaa haya bana..mimi nasali kanisa la washindi.......imani yako tu unakuwa na wewe mshindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huenda unakula nae kijanja au we ni house girl wa nabii tito nn?
Wait....Mkeka wa inplay mkuu
Nimebet kona in play nimeangukia pua....bora niendelee na ishu zangu nilizozoea...Washenzi sana hao, niliwaomba kona 5 HT, naona wameniharibia kazi nzuri iliyofanywa ktk mechi ya Marseille na Salzburg.... Bora hata ningemuomba Arsenal hizo kona
Na Mimi sina uhakika kama wanapata faidaDah,
Hawa jamaa ni raha sana.
Nna wasiwasi km wanapata faida ktk hii biashara.