Mkuu umenifanya nimehamia 1xbet na nakula green kibao swali natoaje pesaNishazoea,
Kupigwa kwny mkeka ni jambo LA kawaida.
Kikubwa ni kuchukulia kupigwa km jambo la kawaida tu, hii ni biashara km nyingine
Leo ni faida , kesho yaweza kua hasara.
NBA imesharud kwan? Maana izo over najua mm niza NBA au kuna team nyingine zinatoa tujuzane mkuuWashington wizards na mwenzake wameshindwa kutoa vikapu 220.... Dah wameharibu kazi nzuri ya odds 20
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipumzika wiki 2, nimerudi lkn vipigo bado vinaniandama
Salama aiseeeWazee salama
Nahisi hivyo mkuu... Halafu tukienda kwa logic almost 99% ya magoli yote yanafugwa kwa mguu mkuuScore by kicking ina maana kwamba afunge kwa mguu ausio??????
Yeah afunge kwa mguu hata kama la kwanza lilifungwa kwa kichwa ila la pili likifungwa kwa mguu bet won.Score by kicking ina maana kwamba afunge kwa mguu ausio??????
Mbona pesa ipo nyingi sana huko.... kwa mfano umebet afunge kwa mguu na akafunga kweli pesa inaingia hapohapo au mpaka mechi iishe ndio mpunga unaingia....Yeah afunge kwa mguu hata kama la kwanza lilifungwa kwa kichwa ila la pili likifungwa kwa mguu bet won.
"Withdraw funds"Mkuu umenifanya nimehamia 1xbet na nakula green kibao swali natoaje pesa
Ndo mana akeScore by kicking ina maana kwamba afunge kwa mguu ausio??????
Yap!Yeah afunge kwa mguu hata kama la kwanza lilifungwa kwa kichwa ila la pili likifungwa kwa mguu bet won.
DKK hyo hyoMbona pesa ipo nyingi sana huko.... kwa mfano umebet afunge kwa mguu na akafunga kweli pesa inaingia hapohapo au mpaka mechi iishe ndio mpunga unaingia....
NBA imerudi Jana mkuuNBA imesharud kwan? Maana izo over najua mm niza NBA au kuna team nyingine zinatoa tujuzane mkuu
Yeah mkuu hzo zote nazifahamYap!
Ila tahadhali muhimu usije ukachanganya mafaili
Kuna hizi mbili
Ya kwanza, Goal 1 scored by kicking
Ya pili, Goal scored by kicking
Sawa mkuu tuko pamoja mimi nitakachokuwa nafanya nahamisha mzigo kama ulivyo kutoka kwako yaani COPY & PASTE....DKK hyo hyo