Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah Hili Jukwaa nafurahi limeniweka mbali na Siasa ningekuwa nimeshatekwa au Kuuawa....

Mapambano yaendelea Siasa yangu ni Over 1.5, 2.5 Home win Under 1.5 Nk.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu ni kweli siasa s nzuri kwa sasa ni bora ukae kimya[emoji40] [emoji28] [emoji28]
 
Pole sana mkuu

Ingia inplay,

Kisha fata mikeka

Pesa leo ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…