Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-2-22_20-14-25.png
wooon
 
Tahadhari
Epuka kubeti team inayoonekana kupendwa sana, ni afadhali ukaipa double chance au magoli.

Kwa uzoefu huwa zinatumika kuwafilisi watu. Nchi kama uturuki ni pabaya sana kwa kuuza match.

Epuka huyu anaitwa galatasaray.
Alaf kuna mkeka nmemuweka
dhaaa
 
Back
Top Bottom