Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau kwenye taarifa tupeane, kuna game kati ya ca bordj bou arreridj vs mc el eulma za nchini algeria, home team wameshinda goli moja na wamepigwa red moja, lakini away team imepewa odd 60. mimi nimeshajilipua kwenye meridian
Timu zote zishakula redcard
 
Timu zote zishakula redcard
Capture.PNG

sofascore iyo
 
In play
Polisportiva A. Galli Basket (W) v Alpo Villafranca Di Verona (W)
Italy Coppa Italia A2, Women
23-02-2018 18:30:
Which team will win the match INC.OT?
1 2.05
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
22:00
Switzerland
FC Wohlen - Rapperswil
Tip: ft 2 @1.86 odds
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
21:00
Germany
Fortuna Köln - Werder Bremen II
Tip: ft 1 @1.60 odds
 
Wamechelewa Ku update

1xbet inasoma wote sana red
View attachment 700452
dah ni kweli, hii mitandao wasipokua sereous watatulisha hasara, yaani ile hela nlompiga kwenye NBA usiku wa kuamkia leo yote anataka kuirudisha, halafu nafungua website yao nikaangalie uwezekano wa kucash out inaandika server error.n wapuuzi sana hawa meridian
 
Karibu cash out, hyo game hawez shinda
 
dah ni kweli, hii mitandao wasipokua sereous watatulisha hasara, yaani ile hela nlompiga kwenye NBA usiku wa kuamkia leo yote anataka kuirudisha, halafu nafungua website yao nikaangalie uwezekano wa kucash out inaandika server error.n wapuuzi sana hawa meridian
Washapigwa goli LA 2 hao
 
Kerala Blasters FC vs Chennaiyin FC
Score: 0 - 0
Min: 30

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +18722381896*

Wape x ft nplay
DK YA THELATHINI..FT X

WALIOFWATA SALUTEEEEE

Kerala Blasters FC vs Chennaiyin FC
Score: 0 - 0
Min: 90+4

Match over!!

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +18722381354*

Kerala Blasters FC vs Chennaiyin FC
Score: 0 - 0
Min: 30

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +18722381896*

Wape x ft nplay
 
Wakuu kwema!? Leo nimejiunga 1xbet. Aisee nimebaki nacheka mwenyewe kwa option zilizopo. Nimetoa hela zote kwenye akaunti zote za betting na kuhamishia 1xbet.

MAPAMBANO YANAENDELEA..
 
Back
Top Bottom