Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
In play
Belgium women
Anderletch vs Heist
Under 14.5 goals full time
Odds: 1.99
*****BET WOOON****In play
Under 8.5 goals first half
Anderletch vs heist wanawake
Odds: 1.55
Mkuu,
Ha ha ha....Hii utata sana, nimewaogopa hawa wanawake duh
Wanapgwa nyingi haoRed card tayari kama nilivyosema...antirep wahakula umeme mapemaaaaa
Kwann mzeeKuna muda wowote ambao si mzuri kudeposit 1xbet?....
WhyNimeamua kurudi princess.....
1xbet kasi yake imenishinda nimedepost pesa Princess muda huu nimepiga pesa hadi raha...
Sometimes huwa deposit inazinguai., af customer care inaweza wachukua hadi siku 3 kushughulikia ili salio lisome, so nataka kuepuka hiloKwann mzee
Sema mm huwa sina bahati ya kula hela nyingi,nipo kijijini mtandao unasoma E na deposit huwa n dakika sifuri tu,princess inasumbua sehemu mtandao hauna nguvu.Sometimes huwa deposit inazinguai., af customer care inaweza wachukua hadi siku 3 kushughulikia ili salio lisome, so nataka kuepuka hilo
Kwanini mkuuNimeamua kurudi princess.....