DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Don't try,Mkuu
Japan leag
Toky corner under 6.5 vipi
Game pressure iko juu sn this second half
Don't try,Mkuu
Japan leag
Toky corner under 6.5 vipi
Pamoja sanaDon't try,
Game pressure iko juu sn this second half
Hongera sana mkuu![]()
Nulikuwa natest mitambo inplay
Ahsante mkuu ukila ndo unaanza kujilaum kuweka stake kidogoHongera sana mkuu
******Bet wooon****In play
Japan
Gamba Osaka vs Nagoya.
First half- under 2 goals
Odds: 1.43
Ridhika na ukipatachoAhsante mkuu ukila ndo unaanza kujilaum kuweka stake kidogo
Sorry mkuu hv 1xbet inatumika vizuri kwny sim?,Nina app lakin kila nikijarib kulog in nashndwa na Nina accnimejiunga jana usiku 1xbet. usiku huo huo mambo yakajipaa.. odds 2.38
Itakua unapgwa na hiyo avartar yako mkuu.Mbona mhind ananipiga saaana kipnd hiki wadau
Hahahaaaaaaa jmosinjema mpwaItakua unapgwa na hiyo avartar yako mkuu.
*****Natania tu lol**
sijawahi jaribu kwenye simu lakini kuna watu wanatumia simu humu na iko poa tu.Sorry mkuu hv 1xbet inatumika vizuri kwny sim?,Nina app lakin kila nikijarib kulog in nashndwa na Nina acc
Waongezee NA drw kabisaIn play.
Tokyo vs urawa
Under 2.5 goals full time
Odds: 1.49
Mm mwenyewe natumia kwenye simu iko poa kabisa, atakuwa kakosea paswordsijawahi jaribu kwenye simu lakini kuna watu wanatumia simu humu na iko poa tu.