rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Goal scored by kicking...likifungwa kwa penalty inakuwa bet lost???
YesGoal scored by kicking...likifungwa kwa penalty inakuwa bet lost???
goal zianzie 2 mpaka 7Mkuu hebu nisaidie hii mult goals ina maana gani
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
kwa hyo ili mkeka utiki saiv idadi ya goli hazitakiw kuzidi saba maana mpaka saiv ni moja mojaMkuu hebu nisaidie hii mult goals ina maana gani
kwa mechi yote?Dah mimi nliweka under 2
BET WONInplay
Changamkia fursa
Melbourne city-Melbourne Victory
Multi goals
2-7
odds 1.83
AGAIN BET WONInplay
Changamkia fursa
Melbourne city-Melbourne Victory
Multi goals
2-5
odds 2.3
BET WONIn Play
Australia League
Malbourne City V Malbourne Victory
total corners 9.5 under
odds 1.42
Mut goal ni nn mkuuuAGA
AGAIN BET WON
Wakuu mpo?
Dah, Siku ya Jana ilkua ni balaa tupu
Mikeka imepasuka,imefuka na kutatuka vibaya sana