Hahahahaha pole sanana kipigo pia kinachangia kaka
Atakuwa Chirwa
mwamba unatumia app gani kubetia inplay
Pumbavu sana kanji Alinipiga weeeeee nikasema niache kubet yeye mwenyewe akanipa mtaji kwahiyo nimejifunza kitu inplay inafaida alinipa 5450 baada ya kunipa ofa ya kuzungusha lucky wheel na ndipo nlipo pata game 1 nikala hiyo 5450 nikawa nacheza inplay tu mpaka sasa imezaa 27950 Thank you God.
Hiyo 27950 niliitoa nikabakiza 2000 lakini mpaka sasa imezaa tena kupitia inplay.
1×bet mkuumwamba unatumia app gani kubetia inplay
Won..
Newcastle kapewa red ..sydney win sasa 1.4in Play
Newcastle Jets vs Sydney
FT Sydney win
odd 1.85
Mkuu kampuni gani imetoa odds kubwa hvyo?in Play
Newcastle Jets vs Sydney
FT Sydney win
odd 1.85
Kabla ya red card kwangu odds ilikua 1.30 nikapotezea.Newcastle kapewa red ..sydney win sasa 1.4
Mi nimeanza vibaya mkuuWazee wa inplay
Kumekucha
Hao wachina, wajapan nmewapiga ban kwny inplay
Nimeanza vibaya leo nimeanza na kipigo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bet won na mkeka nmeuchelewaInplay
Newcastle jets vs Sydney
First half corners- over 1.5
Odd: 1.69