Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-3-2_23-54-54.png


BET WON
 
Inplay

France lig 2

Ajacio vs Lens

Race to 7 corners-Lens

Odds: 1.91
 
Inplay

Portugal

Porto vs sporting

Corners-Porto over 8.5 full time

Odds: 1.50
 
Vichapo vya Jana sio mchezo mkuu.

Nlianza na capital ya 90k, mpk Jana SAA 7 usiku nlkua nmebakisha 20k kwny account
Pole sana mkuu mimi ilibidi nicheze inplay tu niliweka mikeka kama miwili hv nikala kichapo nikawa napumlia mipila tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Roho ikanituma niingie inplay nkarudisha pesa yangu aisee.
 
Hvi kama mechi moja imeahrisha na zlizobak zote zmetick inakuaje hap hela wanakupa sasa hiv au hadi masaa mngap
 
e0fb46c2d14377a28d5e285e52754069.jpg

Pumbavu sana kanji Alinipiga weeeeee nikasema niache kubet yeye mwenyewe akanipa mtaji kwahiyo nimejifunza kitu inplay inafaida alinipa 5450 baada ya kunipa ofa ya kuzungusha lucky wheel na ndipo nlipo pata game 1 nikala hiyo 5450 nikawa nacheza inplay tu mpaka sasa imezaa 27950 Thank you God.
Hiyo 27950 niliitoa nikabakiza 2000 lakini mpaka sasa imezaa tena kupitia inplay.
 
Inplay

Argentina

Arsenal vs Lanus

Lanus over 0.5 corners first half

Odd: 1.59
Hvi kama mechi moja imeahrisha na zlizobak zote zmetick inakuaje hap hela wanakupa sasa hiv au hadi masaa mngap
 
Back
Top Bottom