Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu baada ya kutafakari kwa muda na vipigo vya kanji nimeamua kuwa nabet single bet naweka mzigo wa maana !!maana naelekea kukosana na shemeji yenu kwa kupoteza hela kila siku
 
hii mbinu na yenyewe ikifeli basi naacha kubet rasmi maana ntakua sina ujanja mwingine wa kula hela ya beting
 
NBA
ab7d222038a1d157a155d566a21f9678.jpg

Utah Jazz huyo haaminiki
 
hii mbinu na yenyewe ikifeli basi naacha kubet rasmi maana ntakua sina ujanja mwingine wa kula hela ya beting

Mkuu nakushauri kwa single betting jiwekee malengo kiwango fulani cha pesa ukipata kwa siku kama faida unapumzika, ni muhimu sana.

Usiingiwe tamaa wala Kucheza muda mrefu mpaka kuchosha akili.

Binafsi sasa hivi Natafuta elfu 50 tu kwa siku
 
ndicho nataka kufanya single bet nkipata elf 30-50 napumzika hadi kesho yake!!sitaruhusu mkeka wng kuwa na timu tatu labda mbili ikibidi sana
 
Mkuu nakushauri kwa single betting jiwekee malengo kiwango fulani cha pesa ukipata kwa siku kama faida unapumzika, ni muhimu sana.

Usiingiwe tamaa wala Kucheza muda mrefu mpaka kuchosha akili.

Binafsi sasa hivi Natafuta elfu 50 tu kwa siku
Ushauri mzuri Sana huu
 
In Play

SOUTH AFRICA PRIMIER LEAGUE

Bidvest Wits V Baroka Fc
Next goal (scr 1:1) - X
odds 1.58
 
Leo watu tumekimbiana humu Hahahaaaaaa Mhindi afai aisee
 
Back
Top Bottom