Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

Zenit saint petersberg vs Amkar

FT away win

Odd 18

Tunaita kutest mitambo baada ya analysis.
 
Vip jaman ndo nataka kufungua ofis vip lakin inplay kunalipa au vip siku ya leo
 
Wazee sorry nimedownload app ya mkekabet ila nashindwa ku deposit maana nakwama kwenye reference number.

Mwenye kujua naomba anieleweshe tafadhali maana ndio kwanza leo naanza kuitumia mkekabet
 
Wazee sorry nimedownload app ya mkekabet ila nashindwa ku deposit maana nakwama kwenye reference number.

Mwenye kujua naomba anieleweshe tafadhali maana ndio kwanza leo naanza kuitumia mkekabet
Kampuni namba 238844 na reference namba ni "mkeka"
 
Inplay

Bundesliga

Entrance Frankfurt vs Hannover

Over 2.5 yellow card full time

Odds: 1.38
 
Inplay

Bundesliga

Augsburg vs hoffenheim

Hoffenheim over 1.5 yellow card full time

Odds: 1.42
 
wadau wa princess vp huko upande wenu mnafanikiwa kuingia kwenye menu yao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…