DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Nasema Hoja ni ya kipuuz maana mpk sahv hujajibu ni kwann uliuliza swali LA namna ile tena.wewe ndio umejibu kipuuzi hilo ni swali kama maswali mengine, hasira zako za mkeka kuchanika ziminye maana mikeka hata mi nachaniwa sana tu, ulipaswa ujibu swali sio kuni attack huo ni utoto.
Nikitafakari lengo lake hasa, nagundua ni Uchochezi tu.
Ungekua na busara hilo swali LAKO ungeuliza pm
Kwa kifupi,
Najua kuna hoja flani iliyokaa negative na pia kiuchochezi ulitaka kuwajengea wana jukwaa,
Endapo Nisingeli jibu hilo swali LAKO.