Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zinatoka, nmetoka kuwithdraw ela ya supu mda si mrefu (past 1hr)
Sawa mkuu, hapa naWithdraw kwa Tigo...

Ila bado haijaleta ile """SMS CODE"""
[emoji134] ...Nimeishia njiani, sijui kuna shida!

Also nimetumia WEB kama ulivyoelekeza.
 
Sawa mkuu, hapa naWithdraw kwa Tigo...

Ila bado haijaleta ile """SMS CODE"""
[emoji134] ...Nimeishia njiani, sijui kuna shida!

Also nimetumia WEB kama ulivyoelekeza.
Rudia TENA,binafs natumia airtel
 
Leo hii
Instanbul baseksehir 1
Zenit st peters 1
Psv 1
____

Real Madrid 1
Liverfool 1
Psg 2

___

Glenavon1
Benfica1
Real 3+

___

Psv 3+
Liverpool3+
Real M 3+
Benfica 3+
Psg win
 
Inplay

Turkey

Kasimpasa vs Osmanlispor

Corners first half- under 4.5

Odds: 1.67
 
Kama mhudhuriaji wa hili jukwaa huwez kuuliza swali kama hilo unakuwa kama unamkejeli,,,daily jamaa anaweka mikeka yake na tathmini humu
humu nipo sana, hilo sio swali la kejeli mara kibao naweka possible halafu mimi sibeti na wala sio jamba la ajabu unless otherwise ume li interpret unavyojua wewe
 
Siwez kua na hasira mkuu

Maana ww sio MTU wa kwanza humu kuja na hoja ya kipuuzi km hiyo
wewe ndio umejibu kipuuzi hilo ni swali kama maswali mengine, hasira zako za mkeka kuchanika ziminye maana mikeka hata mi nachaniwa sana tu, ulipaswa ujibu swali sio kuni attack huo ni utoto.
 
in play

CSKA Moscow V Fc Ural
1st half - 3 way
1
odds 1.90
 
wale wa kampuni ya 1xbet....download hy tiket
1xbet code... YMGSF

11 matches 3.25 odd
 
Back
Top Bottom