DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Possiblemkuu hivi hii kwa Both team to score and over 2.5 vp hapo?
Possiblemkuu hivi hii kwa Both team to score and over 2.5 vp hapo?
**Bet Lost**Inplay
Brisbane vs Adelaide
First half goal kick- Brisbane over 4.5
Odds: 1.45
***lost***Inplay
Brisbane vs Adelaide
First half corners- over 6.5
Odds: 1.48
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba total corner zisizidi 5 mkuu...
Naomba ziongezwe
Shukran mkuuPrince bet juu ya app kuna mahali pameandikwa live betting ndo hapo kills game utaona + pemben ndko kwenye opt
hivi mkuu huwa unatia mzigo kweli au unawapa watu possible tu?***lost***
Mapambano YANAENDELEA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Deepondd[emoji350] [emoji350] [emoji350]hivi mkuu huwa unatia mzigo kweli au unawapa watu possible tu?
Hakika maana maombi kwake ni mengi mno, kila dakika wakuu wanamuomba. Haaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu wetu Anakaz
Sana kwenye hii kaz yetu
Naona maombi ya DeepPond yamesikilizwa mkuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu wetu Anakaz
Sana kwenye hii kaz yetu
Haa haa chaa ajabu SasaHakika maana maombi kwake ni mengi mno, kila dakika wakuu wanamuomba. Haaaaaa
Ha ha ha....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu wetu Anakaz
Sana kwenye hii kaz yetu
Kwa mawazo ya namna hyohivi mkuu huwa unatia mzigo kweli au unawapa watu possible tu?
Mkuu achana nao hao wengine wageni tu humu na mawakala wa kanji wanatamani kurudisha nyuma mapambano,,,wapotezee
Yaani wanazitandika kama hawana akili nzuri......Dhuuuuu aiseeee bhas huko
Australia kunafaa kucheza Conner
Ni ajabu sn MTU mzima niwe napoteza muda wangu hapa siku nzima kushare tips ambazo mm eti mm mwnyw siweki stake.Mkuu achana nao hao wengine wageni tu humu na mawakala wa kanji wanatamani kurudisha nyuma mapambano,,,wapotezee
Ahaaaa na wote anawasikiliza na kujibu maombi yao, kweli nimeamini Mungu ni waajabu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Haa haa chaa ajabu Sasa
Huyu anaombA under
Huyu anaombA over[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imagine