WoooooooooonGOOD MORNING
IN PLAY
Australia A League
Western Sydney V Perth Glory
1st half - under 2.5
odds 1.78
2.5 over inatoka bila wasi wasiSecond half mkuu.. Ebu ichungulie tunaweza pata chochote.
Woooooooooon
hongera mkuu, siku imeanza vzrRisk bet woooooon 2.56 odds [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hongera mkuu, siku imeanza vzr
Vp princess wamerudisha mtandao? Maana jana nmeikosa mikeka yakohongera mkuu, siku imeanza vzr
leo umerudi sijui badae itakuaje, wamenikosesa pesa za jana usikuVp princess wamerudisha mtandao? Maana jana nmeikosa mikeka yako
pamoja mdauHongera
leo umerudi sijui badae itakuaje, wamenikosesa pesa za jana usiku
Team ipate penat kat ya nyumbani au ya ugenini unachagua hapo ndio au hapana.MWENYE KUELEWA HII OPTION TAFADHALI
Hzo odd mbona tamu sanaTeam ipate penat kat ya nyumbani au ya ugenini unachagua hapo ndio au hapana.
nilijua kwangu tuYaan hao jamaaaaa
Hiyo option ngum hyo mpaka penalty itumikeMWENYE KUELEWA HII OPTION TAFADHALI
Nimekupata kwa maana kwamba lazima penalt itokee ila sasa iingie golini ama laHiyo option ngum hyo mpaka penalty itumike