Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
YeahNimekupata kwa maana kwamba lazima penalt itokee ila sasa iingie golini ama la
YeahNimekupata kwa maana kwamba lazima penalt itokee ila sasa iingie golini ama la
Aisee ni ngumu zaidi ya gongo/264Yeah
Team ya nyumbani ipate penati na ifunge unachagua ndio au hapana...vivyo hivyo kwa timu ya ugenini, kwahiyo kizingiti cha kwanza timu zipate penati then ndio uchague zifunge au zisifunge hiyo penati....MWENYE KUELEWA HII OPTION TAFADHALI
![]()
Pagumu sana, hii nadhani inafaa kwa zile nchi ambazo RED card huwa nyingiTeam ya nyumbani ipate penati na ifunge unachagua ndio au hapana...vivyo hivyo kwa timu ya ugenini, kwahiyo kizingiti cha kwanza timu zipate penati then ndio uchague zifunge au zisifunge hiyo penati....
Punguza hasira mkuu..Gent ni timu ya kis3nge sana sitaiweka kwenye mkeka wangu hata ikiwa inacheza na Njombe mji...katika timu 10 nilizoweka yeye peke yake ndio kaleta usaliti uliotukuka
Aiseee Ila hii ya 10mnt ndo balaaHiyo option ngum hyo mpaka penalty itumike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo option huichagi tu mkuu njoo inplay aiseee upige pesa wwAiseee Ila hii ya 10mnt ndo balaa
N pressure ya kufa mtu
Yan kuanzia leo in play iko na[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo option huichagi tu mkuu njoo inplay aiseee upige pesa ww
Odd 2.56 zimekupita mkuuYan kuanzia leo in play iko na
Nyie mguu Kwa mguu
Staak mchezo Sasa
Yaah ni option kichaaPagumu sana, hii nadhani inafaa kwa zile nchi ambazo RED card huwa nyingi
Huyo Barca haaminikiHela hiyo.....kazi kwenu
18:15
Spain
FC Barcelona - Atlético Madrid
Tip: ft 1 @1.80 odds
16:30
Netherlands
Vitesse Arnhem - AFC Ajax
Tip: ft 2 @1.67 odds
BET LOSTIN PLAY,
AUSTRALIA A LEAGUE
Western Sydney V Perth Glory
Corners Home Team - Over 4.5
odds 2.06
RISK
Ameen si tumezha anzishaWakuu.....
Habar za asbuh
Jana nmepga pesa sn kule south america mpk SAA 10 alfajir
Dah, nmelala kwny kiti nmekaa kwa uchovu mpk nmesahau kufunga hesabu hadi asbuh hii.
Sio mbaya, Leo nayo Siku.
Moja kwa moja naingia tena kibaruani tena
Hakuna mda wa kupoteza
*** Mapambano YANAENDELEA**
Mkuu yan nlikua ChurchOdd 2.56 zimekupita mkuu
Hata huyo ajax fala tuHuyo Barca haaminiki
jana princess wamenikosesha pesa tanesco wameona wivu nao wanaenda kunikosesha pesa umeme tangu jana usiku mpk saizDah Ngoja nichaji sim najua mapambano yanaanza saa 7 mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]