Hama mtaa/wilaya kama upo DSM km hapo kwako wanazinguajana princess wamenikosesha pesa tanesco wameona wivu nao wanaenda kunikosesha pesa umeme tangu jana usiku mpk saiz
aaha ha ha sawa mkuuHama mtaa/wilaya kama upo DSM km hapo kwako wanazingua
kazi imeanza ila kwangu wakitoa kona 2 tu tayar nawika kama jogooInplay
Russia
Khabarovsk vs Tosno
Under 2.5 corners firs half
Odds: 1.39
kazi imeanza ila kwangu wakitoa kona 2 tu tayar nawika kama jogoo
mkuu bet woooon kalikuwa na odd 1.56USIHOFU MKUU
Hao jamaa wako weak sn kwny upigani wa corner
Huyo wa Khabarovsk anawastani wa corner 3 mechi MZIMA
Hiyo tosno anawastani wa corner 4 mechi nzima
Hizo ni timu za mkiani kwa Russia premier kwa upgaj wa corner pamoja na ball possession
Ila cha ajabu ni vinara wa wa ligi kwny foul za bad tackle na yellow card
Mkuu hii game first half imetoa kona ngapi?Naona livescore wanasema imetoa kona moja ila huku 1x wamenipa betlostInplay
Russia
Khabarovsk vs Tosno
Under 2.5 corners firs half
Odds: 1.39
Wakuu.....
Habar za asbuh
Jana nmepga pesa sn kule south america mpk SAA 10 alfajir
Dah, nmelala kwny kiti nmekaa kwa uchovu mpk nmesahau kufunga hesabu hadi asbuh hii.
Sio mbaya, Leo nayo Siku.
Moja kwa moja naingia tena kibaruani tena
Hakuna mda wa kupoteza
*** Mapambano YANAENDELEA**
kona moja tu wa screen short watumie labda wanachanganyikiwa na kipigo mi niliweka under 1.5 na imekuwa winMkuu hii game first half imetoa kona ngapi?Naona livescore wanasema imetoa kona moja ila huku 1x wamenipa betlost
1xbet nao imeandkwa corner 1 hivo hivoMkuu hii game first half imetoa kona ngapi?Naona livescore wanasema imetoa kona moja ila huku 1x wamenipa betlost
Hilo ni kweli mkuu,Hela ya Inplay ipo South America Mkuu
Usisahau kuni tag mkuu nasubir mikeka ya inplay south americaHilo ni kweli mkuu,
****BET WOOON***Inplay
China super lig
Guizohu vs Jiangsu
Over 4 goals full time
Odds: 1.41
****BET WOOON***Inplay
South Korea
Mughungwa vs greeners
Next goal will be scored up to 60min- No
Odds: 1.31
Poa mkuuUsisahau kuni tag mkuu nasubir mikeka ya inplay south america