Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Blackburn Rovers vs Wigan Athletic
Score: 2 - 0
Min: 55

[emoji840] Yellow to Michael Jacobs
Wigan Athletic


INPLAY

PRESS GG N OV2.5
HME WIN OR DRW
UTHUBUUTUU

GG N OV 2.5
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]

Blackburn Rovers vs Wigan Athletic
Score: 2 - 1
Min: 63

[emoji460] Goal!!
Wigan Athletic
 
Wakuu leo nmemtandika muhind elf60 kwa buku.daah.na nikaondoka eneo la tukio fasta.hahahah,namshukru sana Mungu.
 
Mechi ndio kwanza kipindi cha kwanza 2:1
Sure Mkuu!ila nilichokua naamini ni kwamba hii game itaisha 2-1.......nilijaribu kufata upepo wa jamaa mmoja anaitwa Paul Merson, huwa ana kismati fulani kwa correct score


Note : Si lazima matokeo yatokee kama yanavyotabiriwa na iyo ndio maana halisi ya Betting
 
Tulia ushindi upo tena mapema sana second half.
Mkuu labda sare, hivi unaitazama hii game?Kama jamaa wangekua makini kwa goli walizokosa basi muda huu zingeshakua 4-1.

Anyway anything can happen ni mpira huu
 
Inplay

Holland

Vitesse vs ajax

Corner handcap- ajax win (+2)

Odds: 2.01
 
Inplay

Tanzania

Lipuli vs ndanda

Under 3.5 goals full time

Odds: 1.39
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…