Na bwana ametoa jina la bwana libarikiwe.Bwana ametwaa![]()
****BET WOOOON***Inplay
Tanzania
Lipuli vs ndanda
Under 3.5 goals full time
Odds: 1.39
***BET WOOON***Inplay
cyprus first division
Omonia vs Apoel
Over 2 goals full time
Odds: 1.42
****BET WOOON***Inplay
EPL
Brighton vs arsenal
Under 4 goals full time
Odds: 1.31
Hatimae imekua, kwa correct score na kwa normal WIN, poleni wakuu mliomdhamini ArsenalSure Mkuu!ila nilichokua naamini ni kwamba hii game itaisha 2-1.......nilijaribu kufata upepo wa jamaa mmoja anaitwa Paul Merson, huwa ana kismati fulani kwa correct score
View attachment 704857
Note : Si lazima matokeo yatokee kama yanavyotabiriwa na iyo ndio maana halisi ya Betting
Mzee Wenger mbinu zimeisha kabisa[emoji119] [emoji119] hana ata plan BMkuu labda sare, hivi unaitazama hii game?Kama jamaa wangekua makini kwa goli walizokosa basi muda huu zingeshakua 4-1.
Anyway anything can happen ni mpira huu
Hongera sn mkuuHatimae imekua, kwa correct score na kwa normal WIN, poleni wakuu mliomdhamini Arsenal
mkuu website gani anapatikana bw. Paul mersonSure Mkuu!ila nilichokua naamini ni kwamba hii game itaisha 2-1.......nilijaribu kufata upepo wa jamaa mmoja anaitwa Paul Merson, huwa ana kismati fulani kwa correct score
View attachment 704857
Note : Si lazima matokeo yatokee kama yanavyotabiriwa na iyo ndio maana halisi ya Betting
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na bwana ametoa jina la bwana libarikiwe.
Siku iz hata haupatikan kwa whatsapp sijui tuseme ndio kipigo cha mhindi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]