Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tottenham V Juventus

1st half - total corners 4.5
Both Team To Score - YES
1st Half - Over 0.5
10 Minutes - 3way - X

chukua moja hapo kale pesa
 
In play

Tanzania

Mbeya vs mbao

Under 3.5 goals full time

Odds: 1.37
 
In play

Tanzania

Mbeya vs mbao

Mbeya under 2.5 goals full time

Odds: 1.78
 
Deposit unafanya kwa njia gan kiongoz
Click hapo kwenye profile lako utaona neno "TopUp" bofya then changua ni mtando gani unataka kutumia, weka kiasi then namba ya sim, confirme. Itakuja SMS ktk sim yako. Then utarudi upande wa kawaida wa kutuma pesa kama mpesa fata njia za mpesa. Utajaza kiasi kama kile kile ulichorequest . namba ya kampuni ni 400700. Kumbukumbu namba ni 0081bet
 
97152f9afc3eed01fe8fdea0fe6372f5.jpg
[/IMG]
588c3fddd964de42f0232b0daff47846.jpg
da76c3303314d3851bebc971ce049b83.jpg
ry/39418d0af9f333c1942d419a6898841d.jpg[/IMG]
 
KUFUNGA HESABU

Idadi ya

Mikeka ya Siku niliobet: 53
Mikeka ya Siku iliyotick: 35
Mikeka ya Siku iliyochanika: 18

% ya mikeka ilotick: 66.04%
% ya mikeka iliyochanika: 33.96%

Mtaji wa Siku: 90,000 Tsh
Mapato ya Siku: 340,110 Tsh

Faida ya Siku: 250,110 Tsh

Tathmini:
Siku ya Jana haijaenda vizur, maana faida imepungua sn ukilinganisha na Siku 2 zilizopita

J.2 kuamkia J.3 faida ilkua: 343,560Tsh
J.3 kuamkia J.4 faida ilkua: 468,200 Tsh
J.4 kuamkia Leo faida imekua: 250,110 Tsh

CHANGOMOTO
Changamoto imeonekana hasa ktk timu mbalimbali zinazoshiriki michuano ya AFC barani asia.

Sikua Knowledge Ya kutosha sn khs kwa timu nyng zilizokua ngeni kwny mashindano haya.

MPANGO MKAKATI
Kuongeza bidii ya kazi pamoja na kuzistudy zaidi timu zinazoshiriki michuano mbalimbali zilizo barani Asia hasa Indonesia, Uzbekistan, Thailand na vietnam.

****Mapambano yanaendelea***
View attachment 706404View attachment 706405View attachment 706406View attachment 706407View attachment 706408View attachment 706409View attachment 706411
View attachment 706414View attachment 706417View attachment 706418View attachment 706419View attachment 706420
Duh, mkuu kwa hyo documentation na records keeping uliyo nayo Unaweza hata kuandika proposal ukapata Tajiri yeyote mwenye pesa zake akakupa Mpunga wa kutosha mkafanya biashara. Fantastic broo nawiwa kuiga mfano wako [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hahahaaa, zaidi ya Upembuzi yakinifu.... Unatathmini mpaka Changamoto, Utatuzi wake n.k [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duh, mkuu kwa hyo documentation na records keeping uliyo nayo Unaweza hata kuandika proposal ukapata Tajiri yeyote mwenye pesa zake akakupa Mpunga wa kutosha mkafanya biashara. Fantastic broo nawiwa kuiga mfano wako [emoji120][emoji120][emoji120]
Shukran mkuu,
Documentation na tathmini ni muhimu sn ktk mafanikio ya biashara yoyote duniani

Biashara bila daftar, hupotea bila habari.
 
Back
Top Bottom