Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkui nimemaliz Nursing kaz sina hat vibarua nishindwe kupiga siwez bweteka mm hat kama nimesomea kozi fulan
Naweza fanya kaz yoyote ile elim sio kila kitu mkuu.
[emoji23] Nimekuelewa sana Mkuu.
 
Wadau mpo. Kitambo sana sijatokea humu. Mambo ni hiviii. ...... wadau Jitahidini kutumia 1X bet maana jamaa wamekua wanaoption nyingi, Mechi nyingi sana za inplay yani hadi ligi ya Burundi ndani. Odds nyingi sana aka odds kishungi. Jifunzeni basketbal anatoa odds za bure kabisa inplay. Kiufupi 1Xbet ndio mkombozi wetu jamani.
 
Mkuu ulipotelea wapi....ha ha ha au Kanji alikufungia ndani
 
upload_2018-3-8_20-59-53.png
 
Kwel tamaa mbaya,..kanji anaelekea kunitandika kipigo kitakatifu,..naweza nkapotea hapa bila kuaga
 
Back
Top Bottom