Wako fasta ( up to 15 mins) but it depends....Wakivuta bangi, utakesha hata Siku 3...hahahhaNimejaribu kudeposit imefika Fasta... Vipi kutoa wapo Fasta au miyeyu
[emoji23] Nimekuelewa sana Mkuu.Mkui nimemaliz Nursing kaz sina hat vibarua nishindwe kupiga siwez bweteka mm hat kama nimesomea kozi fulan
Naweza fanya kaz yoyote ile elim sio kila kitu mkuu.
Wee mwenyeji wa """Jukwaa la Wakubwa""[emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Shukrani, mnivumilie mie mgeni wa 1xbet mpaka ntakapoiva
Mkuu ulipotelea wapi....ha ha ha au Kanji alikufungia ndaniWadau mpo. Kitambo sana sijatokea humu. Mambo ni hiviii. ...... wadau Jitahidini kutumia 1X bet maana jamaa wamekua wanaoption nyingi, Mechi nyingi sana za inplay yani hadi ligi ya Burundi ndani. Odds nyingi sana aka odds kishungi. Jifunzeni basketbal anatoa odds za bure kabisa inplay. Kiufupi 1Xbet ndio mkombozi wetu jamani.
Kama na ww unakibarua nipe nitapga tu.Wee mwenyeji wa """Jukwaa la Wakubwa""[emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hahaa... vunga, vunga mwana[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]Wee mwenyeji wa """Jukwaa la Wakubwa""[emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hahahaaaaaaaaa et nikaondoka bila kuaga.Kwel tamaa mbaya,..kanji anaelekea kunitandika kipigo kitakatifu,..naweza nkapotea hapa bila kuaga