Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapana si mimi, Labda aliuliza mtu tofauti.
Over 6 maana yake magoli yakiwa 6 bila kuvuka unarudishiwa ela yako maana yake Odd inakua 1
Over 6.5 magoli yasipovuka 6 umeliwa...........................Mkuu jaribu kupitia pitia thread za nyuma kuna mtu nilimjibu hii
 
Nishakupata mkuu
 
Hahahaaaaaaaaa et nikaondoka bila kuaga.
Kalamba mtaj wote mkuu,af huwez amin leo nili triple mtaj asee,ndomana bwana deepond anasema mtaj ukishauvuka bora utoe hela ubak mtaj unakukuruka nao,sasa mi nkajifanya masta.kumanina,nmelazwa hapa najifkiria niweke 50 nyingne ama nin,unanishaurije mkuu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…