Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Kuna siku niliweka mtaji wote hahaha kilichonitokea sitakaa nirudie tena
 
Kanji haitaji hasira broze
 
Kuna siku niliweka mtaji wote hahaha kilichonitokea sitakaa nirudie tena
Ila ndo nmejifunza asee,tamaa mbaya kwenye hizi kazi,wakal wa hiz kaz wana maintain kiwango kile kile,noo tamaa,sasa mtu u,atoka kuweka buk5,af unaruka na tamaa unaweka elf30 ,si usenge huu,dah leo nmejiona msenge kwel mkuu
 
Kanji haitaji hasira broze
Da nikwel,ila sio kes,mbona tunapata hasara kwenye biashara zingne huko na tumeweka milion mbili tatu,ila hapa biashara ya kanji ukiweka mtaj wa elf 50 unauuma,kwel bnadam haelewek
 
Da nikwel,ila sio kes,mbona tunapata hasara kwenye biashara zingne huko na tumeweka milion mbili tatu,ila hapa biashara ya kanji ukiweka mtaj wa elf 50 unauuma,kwel bnadam haelewek
Ni kweli bt mungu wetu sote
 
Inplay

Dortmund vs RB Salzburg

Yellowcard- RB Salzburg over 1.5 yellow card full time

Odds: 1.48
 
Ila ndo nmejifunza asee,tamaa mbaya kwenye hizi kazi,wakal wa hiz kaz wana maintain kiwango kile kile,noo tamaa,sasa mtu u,atoka kuweka buk5,af unaruka na tamaa unaweka elf30 ,si usenge huu,dah leo nmejiona ****** kwel mkuu
Nakushauri kwa leo usicheze tena, pumzisha kichwa hiko
 
Hahaa... vunga, vunga mwana[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Aisee deep pond anashaur vyema kula na kutoa kuna kipindi mm nlianza na huo mpango mkakat nilipga sana pesa aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…