Hahaa... kawaida tu mkuu inatokea.Ha ha ha.....
Melbourne anapigwa kipigo cha mbwa mwizi huko, update 4:1
Au wamepigwa kadi nyekundu nnIn play
Australia Victorian
Oakhleigh vs Melbourne
Multi goal: 4-5
Odds: 1.61
Multi goal unaipatia wapi na inamaanisha nn!?In play
Australia Victorian
Oakhleigh vs Melbourne
Multi goal: 4-5
Odds: 1.61
Achana na hiyo game, ishavurugikaHahaa... kawaida tu mkuu inatokea.
Nataman nimpe home over 4.5 ila sina uhakika kama ataongeza.
Nishamshukuru..Mshkuru mungu kwa kutoiona
Melbourne ananyukwa ipasavyo uko
Upepo umebadilika,
Sungura anamla simba.....
Mzee baba... Napiga miguu yote mpaka vichwa premierbet meridiabet Princessbet, Biko sports, mkekabet, Playmaster, na 1xbet ndani..... DadadekiUmehama Premier bet? Hahahah
Hamna,Au wamepigwa kadi nyekundu nn
Nimeichelewa[emoji17] [emoji17]Amkar Perm - Arsenal Tula, 1 Half,
Over 4.5 Corners
Odds 1.69
Basi watakuwa wanacheza wao on their own half na jamaa wanapiga kaunta.Hamna,
Yaan hata mm nashndwa kuelewa.
Ball possession wanaongoza Melbourne 61% kwa 39%
Dangerous attacks nazo wanaongoza Melbourne
Ila ubao unasoma 4:1
1xbetBasi watakuwa wanacheza wao on their own half na jamaa wanapiga kaunta.
Unatumia app gani kuchungulia hizi takwimu..
*****BET WOOOOON****In play
Australia Victorian
Oakhleigh vs Melbourne
Multi goal: 4-5
Odds: 1.61
Aahh.. basi mie nilikuwa sijui hata mnapochungulia takwimu1xbet
*****BET LOST****TUNAFUNGUA BIASHARA......
Inplay
Australia Npl viktorian
Oakhleigh vs South Melbourne
Full time- South Melbourne double chance& over 1.5 goals full time
Odds: 1.85
*****BET LOST****
aluta continue*****BET WOOOOON****