Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona iko vizur.

Inawezekana tatzo liko kwny ISP wako.
We jamaa ISP ndio vinini.... Maana kuna siku tunacheza soka jamaaa nikampiga ngwara akaanza kulalamika ameumizwa hapa kwenye medula oblangata huku anashikilia ugoko.. Mazoezi yakaisha kwa vicheko
 
[emoji23] [emoji23] we jamaa mduwanzi kweli.

Itakuwa alilenga pc
 
Nmeanza siku vzur ila hapa kat pamevurugana,ngoja ni rest in peace had saa tisa hapo aisee,had kichwa kinagonga
 
We jamaa ISP ndio vinini.... Maana kuna siku tunacheza soka jamaaa nikampiga ngwara akaanza kulalamika ameumizwa hapa kwenye medula oblangata huku anashikilia ugoko.. Mazoezi yakaisha kwa vicheko
ISP= Internet Service Providers, eg halotel, voda, Tgo
 
Inplay

China

Goanghzhou vs Chang chu

First half corners- over 2.5

Odds: 1.55
 
Screenshot_20180309-151028.png
 
Hivi anaposema 52 min or later ana maaan gani????? Afu naona odds kubwaa samaa
 
Inplay

Azbeijan

Sabah vs Moiku

Over 0.5 goals full time

Odds: 1.50
 
Back
Top Bottom