Kweli mkuu,Katika siku imeanza hovyo hovyo ni leo
Mapambano yaendelee
Option hii inamaanisha nini!?*****BET WOOOOON****
Kweli mkuu,
Siku imeanza shaghara bhagara.
BET WONHapoel Herzliya - Hapoel Beit Shean Mesilot, 1 Half,
Over 4.5 Corners
Odds 1.38
We jamaa ISP ndio vinini.... Maana kuna siku tunacheza soka jamaaa nikampiga ngwara akaanza kulalamika ameumizwa hapa kwenye medula oblangata huku anashikilia ugoko.. Mazoezi yakaisha kwa vichekoMbona iko vizur.
Inawezekana tatzo liko kwny ISP wako.
Hahahahaaa, Pamoja sana Mkuu.Mzee baba... Napiga miguu yote mpaka vichwa premierbet meridiabet Princessbet, Biko sports, mkekabet, Playmaster, na 1xbet ndani..... Dadadeki
[emoji23] [emoji23] we jamaa mduwanzi kweli.We jamaa ISP ndio vinini.... Maana kuna siku tunacheza soka jamaaa nikampiga ngwara akaanza kulalamika ameumizwa hapa kwenye medula oblangata huku anashikilia ugoko.. Mazoezi yakaisha kwa vicheko
ISP-Internet Service Provider[emoji23] [emoji23] we jamaa mduwanzi kweli.
Itakuwa alilenga pc
ISP= Internet Service Providers, eg halotel, voda, TgoWe jamaa ISP ndio vinini.... Maana kuna siku tunacheza soka jamaaa nikampiga ngwara akaanza kulalamika ameumizwa hapa kwenye medula oblangata huku anashikilia ugoko.. Mazoezi yakaisha kwa vicheko
[emoji106]ISP-Internet Service Provider
Jumla ya magoli yawe 4-5Option hii inamaanisha nini!?
Hiyo ni interval ya 1 minute brotherHivi anaposema 52 min or later ana maaan gani????? Afu naona odds kubwaa samaa
Hizi options zipo wapi?