KAMA UCHAMBUZI TUUU me naona sofascore ni nzuri sababu tofauti na app zingne wenyewe hawakupi prediction yyte kwaiyo uchambuzi na uchaguzi purely unakua wako zingne ni be soccer na fubol 24 ..na soccer predictionMsaada natafuta app nzuri kwa ajili ya uchambuzi wa soccer ili nielekeze mashambulizi kwa kanji
Barikiwa mno mkuuKAMA UCHAMBUZI TUUU me naona sofascore ni nzuri sababu tofauti na app zingne wenyewe hawakupi prediction yyte kwaiyo uchambuzi na uchaguzi purely unakua wako zingne ni be soccer na fubol 24 ..na soccer prediction
[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️Liwalo na liwe View attachment 711097
Red card 2 tayari magoli nje nje (hopefully)
Me pia ilinitokeaga ivyo niliandika 10000 af nikadeposite 9500 haikusoma kwenye account yangu, niliwasiliana nao kupitiaHawa beyonic wamegoma kuingiza hela kwenye akaunti yangu ya 1xbet hata kuirudisha wamegoma, nimewasiliana nao naona mail hawajibu, kuna mtu yoyote ashawahi kufanikisha hili? nilikosea amount niliyoweka na niliyotuma
[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️ every little helps brothers.Liwalo na liwe View attachment 711093
Shukran ngoja niwacheck 1xbetMe pia ilinitokeaga ivyo niliandika 10000 af nikadeposite 9500 haikusoma kwenye account yangu, niliwasiliana nao kupitia
[email protected] nikaeleza kilichotokea nikaattach na screenshot za sms za malipo ya tigopesa na beyonic nikawatumia wakaniambia wanashughulikia! Baada ya siku mbili ela ikaingia.
NB: io email ni kwa kingereza tu
Mkuu tnaomba uendelee kutupa elimu wengine ni wageni kwenye kubetKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Wape wote double chance 12WAZEE NAOMBENI USHAURI NATAKA NIWAPE HAWA MTAJI WANGGU WOTE
JUVENTUS WIN
LAZIO WIN
ANDELRECHET WIN
FCSB WIN
YOUNG BOYS WIN
BASEL WIN
AL AHLY WIN
AL KUWAIT WIN
MIDJYTLAND WIN/DRAW
SPPORTIN GJON WIN/DRAW
HAPO TUUU
Paul Melson leo anasema hataki kabisa kuamini kama Arsenal anapoteza na ktk predictation yake kampa ushindi wa 2:0. Huyu huyu ndo alimuua Arsenal dhidi ya BHA.....SIKU HIZI ARSSENAL, ANAOGOPEKA
Naweza kukutengenezea app...karibu. Ukafanya mwenyewe.Msaada natafuta app nzuri kwa ajili ya uchambuzi wa soccer ili nielekeze mashambulizi kwa kanji
Endelea kutupia na zingine mkuu[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️ every little helps brothers.
Braza kwa mchakamchaka na nginjanginja ya Watford kumpa Arsenal direct win ni kazi sanaPaul Melson leo anasema hataki kabisa kuamini kama Arsenal anapoteza na ktk predictation yake kampa ushindi wa 2:0. Huyu huyu ndo alimuua Arsenal dhidi ya BHA.....
Cc mr wise.