****LOST****Inplay
Arsenal vs Watford
First half corners- arsenal over 3.5
Odds: 1.61
*****LOST****Inplay
Arsenal vs Watford
First half corners- arsenal double chance
Odds: 1.85
****LOST****
Mapambano yanaendelea mkuu.*****LOST****
Wakuu,mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu
Nakosea wap,na match nying nashinda pia nazochemka zimo,..ila mtaji haushuk haupand uko pale pale,
Nakosea wap...
Mkuu deepond mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu*****LOST****
Kwamba naeza kua naeka stake ndogo ndogo nin...maan odds nacheza 1.5,1.4,.sometime 2. EtcInawezekana Odds au Stake unazoweka
Hapo ndo panaamua upande au uunguze mtaji
Eka stake kubwa kama 10000 au 5000Kwamba naeza kua naeka stake ndogo ndogo nin...maan odds nacheza 1.5,1.4,.sometime 2. Etc
Huwa inanikuta sana hii, kuna wakati ni upepo tu au pia mtaji wako mdogo alafu unacheza odd ndogo ndogo.Wakuu,mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu
Nakosea wap,na match nying nashinda pia nazochemka zimo,..ila mtaji haushuk haupand uko pale pale,
Nakosea wap...
*****LOST****
[emoji17] [emoji17] [emoji17]****LOST****
Mi tokea kanji anitandike nacheza na stake za 3000 au 4000 had ntakapokaa sawa,nahis hii ndo sabab nacheza kwenye mtaj tuu,..ngoja nifanye maamuz mazitoEka stake kubwa kama 10000 au 5000
We unaeka ngapi
Ndio maana unabaki pale paleMi tokea kanji anitandike nacheza na stake za 3000 au 4000 had ntakapokaa sawa,nahis hii ndo sabab nacheza kwenye mtaj tuu,..ngoja nifanye maamuz mazito
Nahis sabab naweka stake ndogo ndogo,ngoja nianze kujilipua sasa,...siunajua mpira lazma uanze na ndondo cup cha ndimu halaf ndo uingie kwenye nyasi..Huwa inanikuta sana hii, kuna wakati ni upepo tu au pia mtaji wako mdogo alafu unacheza odd ndogo ndogo.
Dau siyo shida mdau shida n odds ndogo,Nahis sabab naweka stake ndogo ndogo,ngoja nianze kujilipua sasa,...siunajua mpira lazma uanze na ndondo cup cha ndimu halaf ndo uingie kwenye nyasi..
sahihi kabisa odd ndio tatizo !!mm jana nimecheza inplay kwa dau la 1000 hadi 1500 hadi mwisho nlipata 56000Dau siyo shida mdau shida n odds ndogo,
Sawa sawa mdau.ngoja nitulize kichwa sasaDau siyo shida mdau shida n odds ndogo,
*****BET WOOOOOON*****Inplay
Arsenal vs Watford
Yellow card- Arsenal over 0.5 full time
Odds: 1.45
****BET WOOOOOON****#**Inplay
German Regionalliga Nordost
Energies Cottbus vs Berliner
Full time: Cottbus win or draw
Odds: 1.71
mkuu hii hukuidondosha hapa****BET WOOOOOON****#**