Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu

Nakosea wap,na match nying nashinda pia nazochemka zimo,..ila mtaji haushuk haupand uko pale pale,

Nakosea wap...
 
Inawezekana Odds au Stake unazoweka

Hapo ndo panaamua upande au uunguze mtaji
 
*****LOST****
Mkuu deepond mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu

Nakosea wap,na match nying nashinda pia nazochemka zimo,..ila mtaji haushuk haupand uko pale pale,

Nakosea wap...
 
Wakuu,mi tokea jana,yaan nacheza kwenye mtaj tuu,unapanda unashuka,ukishuka naupandisha,..yaan ni hapo hapo tuu

Nakosea wap,na match nying nashinda pia nazochemka zimo,..ila mtaji haushuk haupand uko pale pale,

Nakosea wap...
Huwa inanikuta sana hii, kuna wakati ni upepo tu au pia mtaji wako mdogo alafu unacheza odd ndogo ndogo.
 
Eka stake kubwa kama 10000 au 5000
We unaeka ngapi
Mi tokea kanji anitandike nacheza na stake za 3000 au 4000 had ntakapokaa sawa,nahis hii ndo sabab nacheza kwenye mtaj tuu,..ngoja nifanye maamuz mazito
 
Huwa inanikuta sana hii, kuna wakati ni upepo tu au pia mtaji wako mdogo alafu unacheza odd ndogo ndogo.
Nahis sabab naweka stake ndogo ndogo,ngoja nianze kujilipua sasa,...siunajua mpira lazma uanze na ndondo cup cha ndimu halaf ndo uingie kwenye nyasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…