Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kafungue uzi wako hacha uvivu boya ww tutakupata uko
 
mkuu nielekeze ku deposit pesa kwenye 1xbet maana nachat na mtu hapa yani wanapoor customer care nimepewa number ya company ni 400700 lakini nikifanya malipo jina linakuja Mlipa sasa namuuliza hii inakuwaje hatoi maelekezo vizuri
 
Usifanye muamala bila kurequest kupitia site yao yaan 1xbet
 
mkuu nielekeze ku deposit pesa kwenye 1xbet maana nachat na mtu hapa yani wanapoor customer care nimepewa number ya company ni 400700 lakini nikifanya malipo jina linakuja Mlipa sasa namuuliza hii inakuwaje hatoi maelekezo vizuri
tena uwe makini aisee kwenye kudeposit maana ukizingua hiyo hela mpaka kurudi ni majaaliwa, nilikosea kwenye deposit aisee 27,000 imeenda hadi leo haijarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…