Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet naona ameona watu wanajilipua kwa stk ndefu kaweka max 17000
 
Hebu nipeni bookmakers wengine ambao wako friendly na hawazingui kwenye miamala na wenye odds nzuri na options nyingi za in-play.

Tusaidiane hapa tafadhali
 
Mi nashangazwa sana na mnaolalamika kuhusu 1xbet, ukiona hawakufai hama nenda kwengine mbona makampuni yako mengi!Wenzio tunaokomaa na hawa jamaa ujue tumeona wepesi wa kupiga pesa kutokana na option zao nyingi kua rahisi na possible ivyo tumekubali kuingia gharama ya hizo huduma zao mbaya, ki ukweli kampuni za bongo zijifunze kwa hawa warusi ktk kuweka options
 
Ziko nyiingi mf. Meridian, Premierbet, Mbet, Princessbet, Mkeka nk.....ila hautopata option kama za uko 1xbet. So kuna tips za wadau utakua unaziangalia kwa macho.
 
Mi nashangazwa sana na mnaolalamika kuhusu 1xbet, ukiona hawakufai hama nenda kwengine mbona makampuni yako mengi!Wenzio tunaokomaa na hawa jamaa ujue tumeona wepesi wa kupiga pesa kutokana na option zao nyingi kua rahisi na possible ivyo tumekubali kuingia gharama ya hizo huduma zao mbaya, ki ukweli kampuni za bongo zijifunze kwa hawa warusi ktk kuweka options
Well said kiongoz, vp hakuna inplay za asbh tufungue ofis
 
Back
Top Bottom