Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Mkuu niko job, ila ntajaribu kuibia ibia na kutupia.Well said kiongoz, vp hakuna inplay za asbh tufungue ofis
Mkuu niko job, ila ntajaribu kuibia ibia na kutupia.Well said kiongoz, vp hakuna inplay za asbh tufungue ofis
PoapoaMkuu niko job, ila ntajaribu kuibia ibia na kutupia.
Kweli mkuu. Tatizo hao wote premierbet, mkeka, mbet hawana options kama za 1xbet.. Meridian wanachokera mda mwingine ukii gia wakuambia "your country is blocked".. Kero tupuZiko nyiingi mf. Meridian, Premierbet, Mbet, Princessbet, Mkeka nk.....ila hautopata option kama za uko 1xbet. So kuna tips za wadau utakua unaziangalia kwa macho.
Kwanini wewe hao 1xbet wamekusumbua ktk eneo lipi?Kweli mkuu. Tatizo hao wote premierbet, mkeka, mbet hawana options kama za 1xbet.. Meridian wanachokera mda mwingine ukii gia wakuambia "your country is blocked".. Kero tupu
Tumia fast registration...achana na hayo mambo ya kuweka National ID...Hapana ila wanazingua usajili. Hlf Id ya taifa cna; nina ya kura na inakataaa
WonOakleigh Cannons U21 v Heidelberg United U21
Over 2.5
Odds 1.35
Asante kiongoz nimetembea nayo ingawa ilikuwa imepunguaNamour nimetupia moja hapo
BET WONOakleigh Cannons U21 v Heidelberg United U21
Over 2.5
Odds 1.35
Tayari kachukue pesa zako mikeka yote miwiliAsante kiongoz nimetembea nayo ingawa ilikuwa imepungua
BET WON
Ahaa ahaanimepigwa mikeka mitano kwa mmoja!!huu mchezo utatuacha salama kweli?