Big match Juve na MadridKiujumla hii droo ni ya kipuuz.
Hamna big match kabisa, hizo game zote ni nyeupe kabisa.
Wanamaliza mda wake but very technical kwenye difensive na wanacheza mpira wa Ki ushind zaid. Tofaut na barca ya zaman hii sasa ina compose sana presha.. I mean unaweza kuishambulia hata ten minutes na usipate goal. Yaan barca ya sasa ni wataalam Wa kupak bus plus world class player lazma akae mpinzan.Hapana si kwa Barcelona hii Mkuu, hii wachezaji wake wengi wanamalizia ubora wao kina Iniesta, Busquet nk. Barca hii ukizuia Messi na Suarez tu kazi imeisha. Chelsea walikutwa wakati hawako vizuri si katika ligi wala ulaya, ila Chelsea alikua anamtoa kabisa Barca
Sidhani kama unaitazamaga vizuri hii Barca, Barca ya sasa mpinzani unao uwezo wa kui contain, yani Mids zako zina uwezo kabisa wa kuikamata ktk kiungo na isicheze, hakuna kiungo wa maana mwenye uwezo kwasasa, Barca ya zamani ilikua haizuiliki yani wana ku contain wewe mwanzo mwsho unakua unatafuta mpira tu, Hii ya sasa unaweza kuishika na kuishambulia, juzi umakini tu uliwagharimu Chelsea ila kukamatwa Barca alishikwa vizur tu ktk kiungo.Wanamaliza mda wake but very technical kwenye difensive na wanacheza mpira wa Ki ushind zaid. Tofaut na barca ya zaman hii sasa ina compose sana presha.. I mean unaweza kuishambulia hata ten minutes na usipate goal. Yaan barca ya sasa ni wataalam Wa kupak bus plus world class player lazma akae mpinzan.
The Best ni 1XBET, MERIDIAN BET, PREMIER BET, PRINCESS BET.Hivi wazee n kampuni gani nzuri kwa kubetia mwanzoni nlikua natumia mbet siwaelewi siku hizi
[emoji15]1xbet naona ameona watu wanajilipua kwa stk ndefu kaweka max 17000
Bet wonAustralia
Nimeenda kuhakiki hii kauli yako.1xbet naona ameona watu wanajilipua kwa stk ndefu kaweka max 17000
Ulitumia kampuni gani?Kabisa mkuu! Nilicashout nilipoona wanamiss vikapu vingi! Nikaambulia 58k.
Mapambano yanaendelea!
Ulitumia kampuni gani?
Mkuu usiongelee Chelsie . hata el classical ya kwanza kwa valverde ilikua hivyo na mech zake zote za msimu ndo style yao ya soka. Yaan ni wapak bus full japo mpira wanaucheza kidogo. VP mechi ya atletical Madrid uliiona..? So mindset yako unafkr barca ni wabovu kwa sababu wanacheza denfensive game..la hasha ila valverde kai transiform barca kutoka kwenye tik tak mpaka kwenye Ku pak bus.. Nafkr kwa sasa barca ndo team mbovu zaid kwenye kuuchezea mpira. Na man city & Liverpool ndo team znazocheza soka la pas nying na fup huku wakishambulia kwa speed. The least wanacheza mpira Wa kawaida lakn mpira jiweSidhani kama unaitazamaga vizuri hii Barca, Barca ya sasa mpinzani unao uwezo wa kui contain, yani Mids zako zina uwezo kabisa wa kuikamata ktk kiungo na isicheze, hakuna kiungo wa maana mwenye uwezo kwasasa, Barca ya zamani ilikua haizuiliki yani wana ku contain wewe mwanzo mwsho unakua unatafuta mpira tu, Hii ya sasa unaweza kuishika na kuishambulia, juzi umakini tu uliwagharimu Chelsea ila kukamatwa Barca alishikwa vizur tu ktk kiungo.