Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Barca kwa sasa kila njia kwake ni nyeupe. Team hazpend kulisikia jina la Barcelona . ulitakiwa useme hiv Roma kafanyiwa umafia mzito sana
 
Hapana si kwa Barcelona hii Mkuu, hii wachezaji wake wengi wanamalizia ubora wao kina Iniesta, Busquet nk. Barca hii ukizuia Messi na Suarez tu kazi imeisha. Chelsea walikutwa wakati hawako vizuri si katika ligi wala ulaya, ila Chelsea alikua anamtoa kabisa Barca
 
ilibidi apangwe na nani mkuu
Nilitamani kuona akipangwa na team ambazo kwasasa ziko on fire si uyu Roma aliyefudhu kibahati bahati....Nilitamani kuona team kama Bayern, Real, Man City hata Liverpool. Roma wabovu sana hawataleta ushindani kwa Barcelona
 
Naunga mkono hoja,

HAWA Roma wametolewa jasho nyumbani na timu dhaifu (Shaktar) wakiwa pungufu.
 
Back
Top Bottom