Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
22:45
International - UEFA Champions League
AS Roma - FC Shakhtar Donetsk
Tip: BTTS @1.65 odds

22:45
England - Championship
Brentford FC - Cardiff City
Tip: BTTS @1.60 odds

22:45
England - National League
Halifax Town - Dagenham Redbridge
Tip: BTTS @1.80 odds

01:00
Paraguay - Premeira Division
Sol de América - Deportivo Capiatá
Tip: BTTS @1.60 odds

23:00
England
Barnet - Port Vale
Tip: ft X @3.10 odds
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Barnet vs Port Vale
Score: 1 - 1
Min: 90

Match over!!

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +13168697933*

Welldone
 
Duh,
Man utd ndo hivo safar tena.

Jana Mou baada ya mazoezi, anawaambia waandishi kua Sevilla hamuumizi kichwa.

Anachowaza ni droo inapangwa lini na atapangwa na Nani.

AMAA KWELI,
UEFA HAIHITAJI MBWEMBWE!
Mourinho mbwembwe nyingi huku Ana team mbovu
 
Screenshot_2018-03-14-01-04-33.png
 
Mourinho mbwembwe nyingi huku Ana team mbovu
Team nzuri, mikakati yake ndo mibovu.

Hii game nlitaraj kumuona Mata ndani, Hakumuweka.

Sanchez nae mfumo wa Mou unampa shida sn, Kapoteana.

Felain&pogba wote ndo wametoka injury soon, kaigeuza uefa sehemu ya kutest majeruhi

Lukaku, badala ya kustick No.9, anageuka midfield kuwapgia cross kina rashford

Kosa kubwa lilianzia Spain alkoenda kupack basi.

Karudi England, Timu bado INA mindset za kupack basis, Haishambulii kwa pressure.

MWISHO WA SIKU, KAVUNA ALICHOPANDA
 
Back
Top Bottom