Mimi hii championship naachana nayo rasmi coz karibia kila siku nikibet ndo wananichafulia mikeka yanguhiz timu za champioship hua nazikwepa sana sijui kwa nn leo nimeingia mkenge
Dahh aiseee n chache sanaMechi 60 mdau
Kampuni za kibongo max 30Dahh aiseee n chache sana
Nimesikia hawa gal wenyewe hawana limit hata team buku sijui n kwel...? Ambao wanafaham vizur hawa Jamaa please atusaidieKampuni za kibongo max 30
Aiseee Hili funzo sana..na nikosa nalirudia kila siku!!
Jana astonivilla na man u wameninyima mkwanja tenaAiseee Hili funzo sana..na nikosa nalirudia kila siku!!
Gal sport sijajua....Nimesikia hawa gal wenyewe hawana limit hata team buku sijui n kwel...? Ambao wanafaham vizur hawa Jamaa please atusaidie
Vp mzigo wa leo kakaNmeongea tu kutokana na nlivoiona game.
Mm sio mshabiki wa Man utd na Kwenye mkeka wangu sikumpa ushindi man utd
[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️[emoji109] every little helps brothers.Liwalo na liwe View attachment 714429
[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️[emoji109] every little helps brothers.Liwalo na liwe View attachment 714539