Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG-20180314-WA0169.jpeg
 
Dah namba zao za M-Lipa hawajakupa? Maana ni uhuni huu tunaweza kuwafungulia kesi
Mi mwenyewe kwa mara ya kwanza tangu nijiunge na 1xbet cjawahi kupata tatizo la kutoa au kuweka pesa ila kwa leo tangu nitoe saa saba mchana mpaka saa hii kitu hakijasoma nimechart nao jamaa wanasema imesha be proved so tatizo naona lipo kwa hawa mbwa M lipa
 
Inplay

Uefa

Besiktas vs Bayern

Yellow card: Besiktas over 1 yellow card full time

Odds: 1.55
 
Hao M LIPA wapumbavu tu hawa hata mimi toka jumapili hawajaniwekea pesa yangu.
Watu wa 1xbet wananiambia pesa walishaitoa tayari lkn bado sijaipata hyo pesa mpaka sasa
Haya malalamiko yasiyokwisha juu ya ubovu wa 1xbet yamenifanya nifikirie mara mbili kuwahama jumla.
 
Tokaaaa January ukiamka lazima ukute msg za kulalamikia najiuliza kweli kujahuko
 
Back
Top Bottom