Was.enge lausana sport na basel wameninyima pesa usiku huu.nna hasira mbaya ngoja nilale tu nsije nkaharib mazima,
N.b bado nacheza kwenye mtaji tuu,jana nilipata faida nzur ila leo nmeikwangua had imerud kwenye mtaji tena na faida ya buku1 maanina,nna hasira siwez cheza game za usiku leo ngoja nilale tu nianze upya kesho,...vitim vya ajab vya kiqumer sana..
Usikumwema wadau
Nilibett 1half 1over mkeka wa tim ka 8 hiv,yey ndo kazingua ,anashindwaje tia goli 1st half mse.nge huyu,..aka match zingne kinakaza balaa
Kila siku nadeposit na Kuwithdraw tena kwa Tsh. Na EURO sijawah cheleweshewa SMS kamwe au labda sijui wenzangu vp malalamiko kibao mi nadeposit sms ya Mpesa imezidiwa ufasta na Mlipa yan ni papo hapo Polen bac nyinyi wenyematatzoHaya malalamiko yasiyokwisha juu ya ubovu wa 1xbet yamenifanya nifikirie mara mbili kuwahama jumla.
mm pia nashangaa wanaolalamika mm naweka na kutoa bila tatizo tena natoa mitandao tofaut sijawahi kuona usumbufu wowoteKila siku nadeposit na Kuwithdraw tena kwa Tsh. Na EURO sijawah cheleweshewa SMS kamwe au labda sijui wenzangu vp malalamiko kibao mi nadeposit sms ya Mpesa imezidiwa ufasta na Mlipa yan ni papo hapo Polen bac nyinyi wenyematatzo
Labda muwe makin na Push SMS na ukiwa natatzo usichat nao kwa App watumie email yan fasta jamaa ni maprofesional
Duh kumbe sio mie tu [emoji123] [emoji123] mapambano yanaendeleaKumbe basel ni mseeee....kiasi hichi
Kama yapi mkuuNataka kutengeneza pesa inplay game ya Chelsea, kuna matukio ambayo najua lazima yawepo.
Same here mkuu, nna imani card nyingi zitatembea.Nataka kutengeneza pesa inplay game ya Chelsea, kuna matukio ambayo najua lazima yawepo.
mm pia nashangaa wanaolalamika mm naweka na kutoa bila tatizo tena natoa mitandao tofaut sijawahi kuona usumbufu wowote
Ngoja yawakute...ndio mtajua haya mambo yapo au....sisi tunayoyasema...tunakosea/hatupo makiniKila siku nadeposit na Kuwithdraw tena kwa Tsh. Na EURO sijawah cheleweshewa SMS kamwe au labda sijui wenzangu vp malalamiko kibao mi nadeposit sms ya Mpesa imezidiwa ufasta na Mlipa yan ni papo hapo Polen bac nyinyi wenyematatzo
Labda muwe makin na Push SMS na ukiwa natatzo usichat nao kwa App watumie email yan fasta jamaa ni maprofesional
Chelsea Over 1.5 Yellow cardsKama yapi mkuu
Mkuu ni kweli hii ishu hauwez amini mpaka ikukute, binafsi sikuwahi kusumbuliwa nikawa nawashangaa wadau. Kuna siku niliwithdraw 80K tu kilichotokea sishangai tena mtu kulalamikaNgoja yawakute...ndio mtajua haya mambo yapo au....sisi tunayoyasema...tunakosea/hatupo makini
Kweli mtu anaweza kukosea kuwithdraw pesa...!!
Umakini gani unaohitajika...kwenye kuwithdraw pesa...may be kwenye kudeposit...waweza sema haya...
All in all haya matatizo yapo...especially kwa wanaofanya transaction through mobile payment...isipokuwa kwa Bank tu...
Full time orChelsea Over 1.5 Yellow cards