Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-3-14_23-15-41.png
 
Mkuu ni kweli hii ishu hauwez amini mpaka ikukute, binafsi sikuwahi kusumbuliwa nikawa nawashangaa wadau. Kuna siku niliwithdraw 80K tu kilichotokea sishangai tena mtu kulalamika
1×bet customers care yao mbovu kuliko betting zote, wamekauka na pesa zangu nmetuma screen shoot hakuna wanachokifanya dash!!
 
1×bet customers care yao mbovu kuliko betting zote, wamekauka na pesa zangu nmetuma screen shoot hakuna wanachokifanya dash!!
Usiwatumie hizo screen shoot customer care....tuma email kwa technical team kupitia [email protected] ukiambatanisha...screen shoot za payment detail, National ID, account number ya 1xbet, namba ya simu uliyotumia kufanya muamala...
 
Messi ni hatar jaman,tuache majungu na unafki...consistency hii sjaiona tena hapa dunian..na ukizingatia hii modern footbal yenye sheria nying,wakal wengi,na mpira wa darasan lakin kila siku mtu1 ni yeye tuu,..i salute u brother
 
Back
Top Bottom