Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiwatumie hizo screen shoot customer care....tuma email kwa technical team kupitia [email protected] ukiambatanisha...screen shoot za payment detail, National ID, account number ya 1xbet, namba ya simu uliyotumia kufanya muamala...
Nimefanya yote hayo kwa kuwatumia email wamenijibu wao wameapprove nilipwe wananiambia niwe na subira.
Hapa sijui tatizo ni hao wenye kampuni au MLIPA?
Naomba aliyefanikiwa kuongea na watu wa MLIPA anipatie mawasiliano yao.
 
Hao watakuwa M-Lipa...washenzi sana hao....namba zao hizi hapa...huwa hawajibu sms ila wakomalie wapigie ...kwakifupi wasumbue to infinity....
+255 752 869 302
+255 715 222 132
 
Hao M LIPA wapumbavu tu hawa hata mimi toka jumapili hawajaniwekea pesa yangu.
Watu wa 1xbet wananiambia pesa walishaitoa tayari lkn bado sijaipata hyo pesa mpaka sasa
Jamaa wapuuzi kichizi, mwenye namba zao anigei na mimi nimetoa pesa tangu asubuhi kimyaaa...
 
upload_2018-3-15_12-25-47.png
 
Tushasema hatutak magroup ya whatsapp hum wati hawaskii..

Mbona mnapenda sana kujuana juana,hapa ni fake identities sasa whatsapp ili iweje?mbona hapa kila kitu kiko vzur sana au hamtak wagen waone mikeka,au nyiny ni watu msiojulikana mnataka mtufanye kitu mbaya?
Vipi tena mbona unanishambulia
 
Back
Top Bottom