Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana mdau lakini mbona kwangu princess bet ipo poa sana uwa naweka bet na vyo taka na akuna tatizo lolote
Hapana aiseee, pamoja na matatizo yao yote hawa 1xbet sidhani kama kuna kampuni bongo itaisogelea hii 1xbet kwa ubora wa Odds na Options (Ki ukweli kwao ulali njaa, ushindwe wewe kua na mtaji tu)
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Total Odds: 46043.34

14:00

PAS Giannina U19 - Pontedera U19

2

3.9

18:00

Zenit St Petersburg - RB Leipzig

2

2.82

20:05

Arsenal - AC Milan

1

1.92

16:00

Lokomotiv - Atletico Madrid

2

1.96

23:00

Rionegro - Junior

2

2.44

22:15

Santos - Nacional (Uru)

1

1.8

20:05

Red Bull Salzburg - Dortmund

2

2.3

18:00

El Daklyeh - Al Nasr Cairo

1

2.12

18:00

Dynamo Kiev - Lazio

1

3.35

18:00

Plzen - Sporting Lisbon

1

2.6

20:05

Lyon - CSKA Moscow

1

1.77

13:00

Petrojet - Ismaily

2

2.34


22:15

The Strongest - Penarol

1

1.44
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu ii 500 tu umemfilisi.
 
Betting system 7 of 9

Total Odds: 373.91

Time

Teams

Prediction

Odd

Bookie

20:05

Lyon - CSKA Moscow

Goal Goal

2.06

Bwin

14:00

Gorica - NK Aluminij

1

2.08

Bwin

18:00

Athletic Bilbao - Marseille

Goal Goal

1.79

Bwin

18:00

Dynamo Kiev - Lazio

Over 2,5

1.81

Bwin

16:00

Lokomotiv - Atletico Madrid

Goal Goal

2.18

Bwin

18:00

Zenit St Petersburg - RB Leipzig

Over 2,5

1.91

Bwin

18:00

Plzen - Sporting Lisbon

Goal Goal

1.71

Bwin

20:05

Arsenal - AC Milan

1

1.93

Bwin

16:00

Lokomotiv - Atletico Madrid

2

1.96

Bwin
 
Screenshot_2018-03-15-15-34-26.png
 
Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti[emoji23][emoji116][emoji818]

Dogo kampigia simu baba yake;
DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipa
nikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubeti
BABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzi
mkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti?
DOGO : Lakini baba
BABA : Lakini baba nini ngoja urudi utaona
ntakachofanya.
DOGO : Nilitaka kukwambia kuwa nimeshinda
shilingi milioni 3
BABA : Ndio hayo ninayosema wewe mpumbavu
sana kwanini hukutumia laki nzima kubeti? Si
ungepata pesa nyingi zaidi? Ngoja urudi niwataarifu
ndugu zako kuhusu uulivyo na akili za kuamua
haraka mwanangu mpenzi…

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
 
Wakuu, nataka nicheze option moja inaitwa "PLAYER SENT OFF"
Timu zote za leo URO.

USHAURI WENU
 
UNLIMITED DATA
tanatoa huduma ya
Unlimited data:
(Hi utaweza tumia internet bila kikomo,huna hja kuhofia mb wala Gb kuisha,ukiwa nchi yoyote pia kwa matumizi ya mtandao wowote)
Hizi ni bei za chini saaana kwa data hi:

Unlimited data mobile:
1mb/s=3month=15,000.



[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Unlimited data mobile plus
Unlimited mb/s:
3month=30,000
6month=55,000
1year=95,000.

Data for Desktop (PC)+mobile nk..
3month=58,000
6month=190,000
1year=340,000.

Data hi ipo spidi,haina scratch .Na iwapo itascratch tutakurudishi pesa yako.
Wasiliana nami moja kwa moja
0621 072 026
Mkuu,
Tutakuamini vipi?

Je, kampuni yako inatambulika?

Itakuaje, ukishapewa pesa ukaingia mitini?

Ushauri:
Ungetoa hata free 100mb kujenga kwanza imani kua ni kweli unatoa hiyo huduma.

Pia ili watu watest hiyo mitambo yako, kama huo ubora upo serious.

Pia kidogo rekebisha tangazo lako mkuu, Limekaa kimtaani mtaani.

Mwekezaji serious, hasa sekta ya mawasiliano hawez toa tangazo kienyeji namna hii.

Vinginevyo, hizo Data unazouza ni za magendo.

Na kama ni za magendo, Basi zina walakini.

ZINGATIA HAYO
 
Hapana aiseee, pamoja na matatizo yao yote hawa 1xbet sidhani kama kuna kampuni bongo itaisogelea hii 1xbet kwa ubora wa Odds na Options (Ki ukweli kwao ulali njaa, ushindwe wewe kua na mtaji tu)
Naunga mkono hoja 100%
 
Back
Top Bottom