Hoja yangu si uefa hii tu isipokuwa Barcelona itaendelea kutesa timu zingine kwa miaka mingi, kumbuka kuwa mpaka muda huu Neymar ameshasahaulika na bado timu ipo uefa, wanaongoza laliga,wapo copa delay final na wameshachukua kikombe kimoja tayariNadhani Mkuu upo nje kabisa, Coutinho anachezaje UCL wkati alishachezea Liverpool?Hivi unajua kua dirisha lilishafungwa hizo sajili hazichez hii michuano sabab majina yalishapelekwa, mimi nazungumzia team inayocheza hii michuano ya UCL aisee. Ndio sabab nikikuambia unitajie viungo utataja Iniesta, Busquet wakat huo uyu Iniesta sabab umri umeenda hata ktk ligi huwa anapumzishwa amalizi game
Pole basi itakua ulidandia hoja Mkuu, hoja ya msingi ni UCL. Hoja hii imeibuka baada ya draw ya UCL ya Barca kupangwa na Roma.......Kwahyo uko nje, tunashukuru kwa mtazamo wakoHoja yangu si uefa hii tu isipokuwa Barcelona itaendelea kutesa timu zingine kwa miaka mingi, kumbuka kuwa mpaka muda huu Neymar ameshasahaulika na bado timu ipo uefa, wanaongoza laliga,wapo copa delay final na wameshachukua kikombe kimoja tayari
Nmechelewa hii
Bado haujachelewaNmechelewa hii
WON!Monaco win....kachukue odds za kibabe
Sahihi kabisaSasa hiv mwendo wa match mbil kwa siku.stake ya maana 50+ au 100..match za uhakika lakin,hata kama odds ni 1.2,maanina.mana huu mwendo wa buk 5 tano huu,unaenda hatua 3 mbele hatua 3 nyuma deile,..
Sasa hiv mwendo wa match mbil kwa siku.stake ya maana 50+ au 100..match za uhakika lakin,hata kama odds ni 1.2,maanina.mana huu mwendo wa buk 5 tano huu,unaenda hatua 3 mbele hatua 3 nyuma deile,..
Mkuu DeepPondIn play
Turkey lig 1
Adana dermispor vs Umranyespor
Multi goals: 2-7
Odds: 1.62
Sikuiona mkuu ndio ilikiwa ya kutembea nayo hii.