Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Levante vs Eibar
Under 2.5 odd 1.57
Eibar will Winn 2.01 betway Africa
Kwa ngumu zaid results Levante 0-2 Eibar odd 10
 
In play

Bulgaria

Septemv Sofia vs vereya

Multi goals: 1-3

Odds: 1.35
 
[emoji59]
Screenshot_2018-03-16-17-37-26.jpg
 
In play

Turkey lig 1

Adana dermispor vs Umranyespor

Multi goals: 2-7

Odds: 1.62
 
Mkuu usiongelee Chelsie . hata el classical ya kwanza kwa valverde ilikua hivyo na mech zake zote za msimu ndo style yao ya soka. Yaan ni wapak bus full japo mpira wanaucheza kidogo. VP mechi ya atletical Madrid uliiona..? So mindset yako unafkr barca ni wabovu kwa sababu wanacheza denfensive game..la hasha ila valverde kai transiform barca kutoka kwenye tik tak mpaka kwenye Ku pak bus.. Nafkr kwa sasa barca ndo team mbovu zaid kwenye kuuchezea mpira. Na man city & Liverpool ndo team znazocheza soka la pas nying na fup huku wakishambulia kwa speed. The least wanacheza mpira Wa kawaida lakn mpira jiwe
Hatutaweza kuelewana maana tayari nimekuambia kua ina wachezaji ambao wako mwsho wa ubora wao wewe unadai hao ndio wazuri, sasa cjui haufaamu kua Iniesta na Busquest nk. wa miaka ya 2014 ni tofauti na hawa wa leo. In short ktk soka ukifika tu 30 unahesabika ndio unamalizika kimpira. Subiri tu utaiona safari ya Barca akicheza na team zenye mids za kueleweka. Barca akishikwa Messi na Suarez hakuna goli hapo, tazama game zao za nyuma ambazo Messi na Suarez hawakua ktk viwango vzuri utaelewa, Kwasasa imebaki kutegemea miujiza ya Messi kama mleta matokeo
 
Ila sio timu ya kuomba ikutane na timu yako maana hao watu wawili wa mbele kuwazuia kazi kubwa
 
In play

Jordan

Al ramtha vs al Hussein

Under 2.5 goals fulltime

Odds: 1.13
 
Ila sio timu ya kuomba ikutane na timu yako maana hao watu wawili wa mbele kuwazuia kazi kubwa
Wamesajili coutinho tayari ameshaanza kutema cheche, dembele huyu mnajua alichowafanya Chelsea. Arthur kutoka gremio naye tayari wameshamalizana na gremio( new Sergio)
 
Wamesajili coutinho tayari ameshaanza kutema cheche, dembele huyu mnajua alichowafanya Chelsea. Arthur kutoka gremio naye tayari wameshamalizana na gremio( new Sergio)
Nadhani Mkuu upo nje kabisa, Coutinho anachezaje UCL wkati alishachezea Liverpool?Hivi unajua kua dirisha lilishafungwa hizo sajili hazichez hii michuano sabab majina yalishapelekwa, mimi nazungumzia team inayocheza hii michuano ya UCL aisee. Ndio sabab nikikuambia unitajie viungo utataja Iniesta, Busquet wakat huo uyu Iniesta sabab umri umeenda hata ktk ligi huwa anapumzishwa amalizi game
 
Back
Top Bottom