Mkuu umetuchanganya bt nimekupata baada ya kutafakal kwa mbali..jarbu kutenganisha hzo odds na 3waysUSIEMPENDA KARUDI TENA TWENDE KAZI SASA
MKEKA NAMBA MOJA
Eintracht Frankfurt v 1 Fsv Mainz 05
3 Way - 11.79
Valencia CF v CD Alaves
3 Way - 11.52
Aberdeen FC v FC Dundee
3 Way - 11.63
Rangers FC v Kilmarnock FC
3 Way - 11.46
Bristol City v Ipswich Town
3 Way - 11.68
TOTAL ODDS
10.8
MKEKA NAMBA MBILI (ZA USIKU)
LIVERPOOL WIN
PSV WIN
VITESSE WIN
JUVENTUS WIN
BENFICA WIN
FC PORTO WIN
Mkuu hii substitute player to score unaipatia wapi? Mbn siioni
Kwa lini, leo auWakuu kuna mtu yeyote ambae amefanikiwa ku deposit pesa kwenye account yake ya 1xbet
Yes leo maana baada ya ku update hii application nikienda kwenye top up account huku chini naona wameniandikia error option yoyote ya ku depost pesa hakuna?Kwa lini, leo au
Mkuu hii substitute player to score unaipatia wapi? Mbn siioni
Dah kwaleo sikujaribu ila naona bora ungejaribu kwa kupitia web inaweza kukubaliYes leo maana baada ya ku update hii application nikienda kwenye top up account huku chini naona wameniandikia error option yoyote ya ku depost pesa hakuna?
Sawa sawa mkuu... ngoja nijaribu tuoneDah kwaleo sikujaribu ila naona bora ungejaribu kwa kupitia web inaweza kukubali
Ok poa sana Mkuu ingawa natumia web nahisi ndio maana option zingine sizioniTazama huu mfano kisha fata na ku click umo nilipozungushia
View attachment 717674
View attachment 717670
Nimefanikiwa baada ya ku log out na ku log in tenaDah kwaleo sikujaribu ila naona bora ungejaribu kwa kupitia web inaweza kukubali
[emoji106]Nimefanikiwa baada ya ku log out na ku log in tena
Download app MkuuOk poa sana Mkuu ingawa natumia web nahisi ndio maana option zingine sizioni
Nimechukua tatu za kwanza, Hiyo 'how the goal will be scored' ni goli lolote au la kwanza tu?
Naona hamna namna inabidi ni download sasaDownload app Mkuu
Goli lolote litakalofungwa kwa kick.Nimechukua tatu za kwanza, Hiyo 'how the goal will be scored' ni goli lolote au la kwanza tu?
Unaweza download app hata ya PCNaona hamna namna inabidi ni download sasa
Basi naenda kumalizia zilizobakiGoli lolote litakalofungwa kwa kick.