BARON99
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,770
- 5,420
Tayari Mkuu nimeshapakua, ebhana kumbe nilikua nakosa uhondo kichizi dah.... Hii app imetulia kiukweliUnaweza download app hata ya PC
Tayari Mkuu nimeshapakua, ebhana kumbe nilikua nakosa uhondo kichizi dah.... Hii app imetulia kiukweliUnaweza download app hata ya PC
Naona hamna namna inabidi ni download sasa
Iko poa sana...kila la kheriTayari Mkuu nimeshapakua, ebhana kumbe nilikua nakosa uhondo kichizi dah.... Hii app imetulia kiukweli
Asante Mkuu, acha vita iendeleeIko poa sana...kila la kheri
Pole sana Mkuu[emoji23][emoji23]Yanga yangu imeaga mashindano daah!!!!
Best lostView attachment 717709
Total Odds 15.9
Everton wanacheza kama hawataki....Best lost
Waduwanz hawaEverton wanacheza kama hawataki....
Aise hizi team muda mwingine huwa naziogopa sana leo wanaweza cheza vizuri mechi inayofuata wakaharibu so muda mwingi hizi timu ndogo zikishinda mechi inayofuta naipiga pinEverton wanacheza kama hawataki....
Siamin anasepa na 20K yang DaaRangers
Wamezingua kishenzRangers
Mr wise hii ni app gan, inaitwaje
1XbetMr wise hii ni app gan, inaitwaje